Leseni za madini sasa kulipiwa kwa mtandao

By Ephrahim Bahemu, Mwananchi

Dar es Salaam. Wizara ya Nishati na Madini, imezindua matumizi
ya mfumo mpya wa malipo ya ada za leseni za madini kwa njia ya kielektroniki (OMCTP)

Kaimu Kamishna Mkuu wa Madini, John Nayopa jana alisema mfumo huo
ulianza kutumika wiki iliyopita na utawawezesha wateja kutuma
maombi ya leseni na taarifa za utendaji kazi kwa njia ya mtandao.

“Mfumo huu ni salama kwa fedha za wateja na kuanzia sasa
malipo ya ada za leseni yatafanyika kwa njia ya mtandao pekee. Ofisi zetu za madini zitatoa msaada kwa wateja wanaohitaji maelekezo,” alisema.

Alisema utawawezesha pia wateja kupata ramani za kijiolojia, takwimu
mbalimbali za madini na kufanya malipo kwa njia
ya miamala ya simu za mkononi, Maxmalipo na kupitia benki (EFT).

Nayopa amewataka wadau kuchangamkia fursa za uwekezaji zilizopo katika
sekta ya madini ikiwa ni pamoja na kuongeza thamani ya madini na kuchakata mchanga wenye madini ili wanufaike na
Serikali iongeze mapato kwa kupitia ulipaji wa kodi.

Mfumo huo unalenga kurahisisha utoaji wa leseni wachimbaji wadogo,
kupunguza mlundikano wa maombi ofisi za madini, kurahisisha mawasiliano kati ya wizara na wamiliki, kujua taarifa
za leseni na utoaji wa taarifa za madini kwa wakati

| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 | 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 | 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |Mercury: Slow killer in Uganda's gold mines

 1. Inside one of the dozens of gold camps that dot the foothills and valleys of Mubende in central Uganda, the hustle and bustle is astounding. 'Saigon City" nestled in the valley of Kayonza; Kitumbi …
 2. {read by 28 people}


East Africa leads efforts to cut use of mercury in mining

 1. East Africa is driving a global initiative to phase out the use of mercury in mining, as it is harmful to human health and the environment. Kenya, Uganda, Tanzania, Ethiopia and Burundi have announ…
 2. {read by 37 people}


Tanzania passes laws on renegotiation of mining, gas contracts

 1. Tanzania's parliament passed two laws on Monday allowing the government to force mining and energy companies to renegotiate their contracts, despite pleas from the mining association for more time…
 2. {read by 98 people}


Tanzania's president suspends granting of mining licenses

 1. The Tanzanian president has ordered the mining ministry to suspend the granting of new licenses, a statement from State House said on Tuesday, the latest twist in an ongoing row between the government…
 2. {read by 141 people}


Kenya's economy suffers due to mercury pollution

 1. Mining communities in Kenya lose between Sh174 and Sh342 billion in earning potential every year due to mercury contamination, according to a new study published in The Journal of Environmental Manage…
 2. {read by 113 people}


Hakirasilimali opinion on the Natural Resource Wealth Bills of 2017

 1. At a public hearing today, HakiRasilimali submitted to the parlimentary committees on Energy and Minerals and Constitutional and Legal Affairs its opinion on the following bills tabled in parliament o…
 2. {read by 99 people}khjg